• HABARI MPYA

  Sunday, November 06, 2022

  ARSENAL HAWASHIKIKI, WAITWANGA CHELSEA 1-0 DARAJANI


  BAO pekee la Gabriel Magalhães dakika ya 63 akimalizia pasi ya Bukayo Saka limeipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea katika mchezo is a Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
  Arsenal inafikisha pointi 34 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ikiizidi pointi mbili Manchester City, wakati Chelsea inabaki na pointi zake 21 nafasi ya saba baada ya wote kucheza mechi 13.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL HAWASHIKIKI, WAITWANGA CHELSEA 1-0 DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top