• HABARI MPYA

  Friday, November 04, 2022

  MBEYA CITY YAICHAPA NAMUNGO FC 2-1 SOKOINE


  WENYEJI, Mbeya City wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
  Mabao ya Mbeya City yamefungwa na Sixtus Sabilo dakika ya 25 na Hassan Mahmoud dakika ya 55, wakati la Namungo FC limefungwa na Relliants Lusajo dakika ya 52.
  Kwa ushindi huo, Namungo FC inafikisha pointi 15 katika mchezo wa tisa na kusogea nafasi ya nne, wakati Namungo FC inabaki na pointi zake 15 za mechi 10 sasa nafasi ya tano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBEYA CITY YAICHAPA NAMUNGO FC 2-1 SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top