• HABARI MPYA

  Saturday, November 26, 2022

  BODI YA LIGI YAMFUNGIA MECHI TATU BEKI MGANDA


  BEKI Mganda wa Singida Big Stars, Shafiq Batambuze amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 kwa kosa alilofanya kwenye mechi dhidi ya Simba.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YA LIGI YAMFUNGIA MECHI TATU BEKI MGANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top