• HABARI MPYA

  Wednesday, November 23, 2022

  SINGIDA STARS YAICHAPA KMC 1-0 LITI BAO LA KAGERE


  BAO pekee la mshambuliaji Mnyarwanda, Meddie Kagere dakika ya 40 limetosha kuipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa LITI mjini Singida.
  Kwa ushindi huo, Singida Big Stars inafikisha pointi 21 katika mchezo wa 12 na kusogea nafasi ya nne, wakati KMC inabaki na pointi zake 14 za mechi 13 katika nafasi ya 10.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA STARS YAICHAPA KMC 1-0 LITI BAO LA KAGERE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top