• HABARI MPYA

  Monday, November 07, 2022

  MAN UNITED KUCHEZA BARCELONA EUROPA LEAGUE


  TIMU ya Manchester United itamenyana na Barcelona katika mchujo wa kuwania kucheza Hatua ya Makundi ya Europa League, wakati Juventus itakutana na FC Nantes.
  Mechi nyingine za Hatua hiyo AS Roma ya kocha Jose Mourinho itamenyana na Salzburg wakati Ajax itamenyana na Union Berlin.
  Kwa upande wao mabingwa mara sita wa michuano hiyo, Sevilla watacheza na mabingwa wa Eredivisie, PSV Eindhoven.
  RATIBA NZIMA YA PLAY-OFF  EUROPA LEAGUE 
  Barcelona vs Manchester United
  Juventus vs FC Nantes
  Sporting Lisbon vs FC Midtjylland
  Shakhtar Donetsk vs Stade Rennais
  Ajax vs Union Berlin
  Bayern Leverkusen vs Monaco
  Sevilla vs PCs
  Salzburg vs Roma
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED KUCHEZA BARCELONA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top