• HABARI MPYA

  Wednesday, November 09, 2022

  SINGIDA BIG STARS NA SIMBA SARE 1-1 LITI


  WENYEJI, Singida Big Stars wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa LITI mjini Singida.
  Kiungo mshambuliaji, Deus Kaseke alianza kuifungia bao Singida Big Stars dakika ya 11, kabla ya winga Mmalawi, Peter Banda kuisawazishia Simba SC dakika ya 79.
  Kwa sare timu zote zimafikisha pointi 18, Simba ikibaki nafasi ya pili katika mchezo wa tisa na Singida nafasi ya nne katika mchezo 10.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA BIG STARS NA SIMBA SARE 1-1 LITI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top