• HABARI MPYA

  Wednesday, November 16, 2022

  KAZE MKURUGENZI MPYA WA UFUNDI TIMU ZA VIJANA YANGA


  UONGOZI wa klabu ya Yanga umemteua Mrundi, Cedric Kaze kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu za vijana chini ya umri wa miaka 17 na 20 pamoja na timu ya Wanawake, Yanga Princess.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAZE MKURUGENZI MPYA WA UFUNDI TIMU ZA VIJANA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top