• HABARI MPYA

  Monday, November 21, 2022

  KAGERA SUGAR YAICHAPA PRISONS 1-0 SOKOINE


  BAO pekee la Meshack Abraham dakika ya 86 limeipa Kagera Sugar ushindi wa ugenini wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
  Kwa ushindi huo, Kagera Sugar inafikisha pointi 15 katika mchezo wa 13 na kujivuta nafasi ya tisa, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake 14 za mechi 13 nafasi ya 11.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAGERA SUGAR YAICHAPA PRISONS 1-0 SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top