• HABARI MPYA

  Wednesday, November 02, 2022

  YANGA SC YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA CLUB AFRICAIN DAR


  WENYEJI, Yanga SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Club Africain ya Tunisia katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.
  Sasa Yanga SC watatakiwa kwenda kupambana kushinda ugenini Jijini Tunis katika mchezo wa marudiano Jumatano ijayo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA CLUB AFRICAIN DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top