• HABARI MPYA

  Tuesday, November 29, 2022

  KMC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA PRISONS UHURU

   

  WENYEJI, KMC wamelazimishwa sare ya 0-0 na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Kwa sare hiyo kila timu inafikisha pointi 15 katika mchezo wa 14, KMC ikibaki nafasi ya 10 na Prisons nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi ya timu 16, ambayo mwisho wa msimu mbili zitashuka.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KMC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA PRISONS UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top