• HABARI MPYA

    Wednesday, December 04, 2019

    MICHUANO YA ASFC; AZAM FC NA AFRICAN LYON, SIMBA SC NA AFC ARUSHA NA YANGA NA IRINGA UNITED

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
    VIGOGO wa soka nchini, Azam FC, Simba na Yanga wote wataanzia nyumbani hatua ya 32 Bora michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baadaye mwezi huu na wote watacheza na timu za Daraja la Kwanza.
    Mabingwa watetezi Azam FC, watakutana na African Lyon, Simba SC watamenyana na AFC ya Arusha na Yanga watacheza na Iringa United na mechi hizo zinatarajiwa kuchezwa Desemba 20 na 22.
    Hatua hii inashirikisha jumla ya timu 64, kati ya hizo 20 zinatoka Ligi Kuu ya Tanzania Bara, 24 kutoka Daraja la Kwanza na 20 nyingine ni madaraja ya chini zilizofuzu kutoka hatua za awali.
    Mechi nyingine za michuano hiyo inayojulikana kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) ni kati ya Migombani dhidi ya Mbeya City, Polisi Tanzania na Top Boys, Mwadui FC na Mkamba Rangers, Tukuyu Stars na Singida United, Mbuni FC dhidi ya KMC, Alliance itamenyana na Transit Camp, Ndanda SC na Cosmo Politan na Milambo FC dhidi ya Ruvu Shooting.
    Nayo Mbao FC itamenyana na Stand United, Nyamongo na Biashara United, Lipuli FC na Dar City, Kagera Sugar na Rufiji United, Tanzania Prisons na Mlale FC, Mtibwa Sugar na Rhino Rangers, Coastal Union na African Sports, Namungo FC na Green Warriors na JKT Tanzania dhidi ya Boma FC.
    Mechi nyingine ni Migombani dhidi ya Mbeya City, Polisi Tanzania na Top Boys, Mwadui FC na Mkamba Rangers, Tukuyu Stars na Singida United, Mbuni FC na KMC, Alliance na Transit Camp, Ndanda SC na Cosmo Politan, Milambo FC na Ruvu Shooting, Mbao FC na Stand United na Nyamongo dhidi ya Biashara United.
    Mawenzi Market itamenyana na Mtwivila, Mpwapwa United na Kitayosa, Talinega FC na Friends United, Ihefu na Kasulu Red Star, Toto Africans na Gipco, Mighty Elephant na Mashujaa FC, Jeshi Warriors na Dodoma FC, Majimaji FC na Pamba SC, Panama FC na Area C na  Gwambina FC dhidi ya Mbeya Kwanza.
    Nayo Pan African itamenyana na Geita Gold, Njombe Mji na Sahare All Stars, Lipuli FC na Dar City, Kagera Sugar na Rufiji United, Tanzania Prisons na Mlale FC, Mtibwa Sugar na Rhino Rangers, Coastal Union na African Sports, Namungo FC na Green Warriors na  JKT Tanzania dhidi ya Boma FC.

    RATIBA KAMILI MICHUANO YA ASFC
    1. Migombani vs Mbeya City
    2. Polisi Tanzania vs Top Boys
    3. Mwadui FC vs Mkamba Rangers.
    4. Tukuyu Stars vs Singida United.
    5. Mbuni FC vs KMC
    6. Alliance vs Transit Camp
    7. Ndanda SC vs Cosmo Politan.
    8. Milambo FC vs Ruvu Shooting.
    9. Mbao FC vs Stand United.
    10. Nyamongo vs Biashara United.
    11. Mawenzi Market vs Mtwivila.
    12. Mpwapwa United vs Kitayosa.
    13. Talinega FC vs Friends United.
    14. Ihefu vs Kasulu Red Star
    15. Toto Africans vs Gipco.
    16. Mighty Elephant vs Mashujaa FC
    17. Jeshi Warriors vs Dodoma FC
    18. Majimaji FC vs Pamba SC
    19. Panama FC vs Area C
    20. Gwambina FC vs Mbeya Kwanza.
    21. Pan African vs Geita Gold.
    22. Njombe Mji vs Sahare All Stars.
    23. Lipuli FC vs Dar City.
    24. Kagera Sugar vs Rufiji United.
    25. Tanzania Prisons vs Mlale FC.
    26. Mtibwa Sugar vs Rhino Rangers.
    27. Simba SC vs Arusha FC.
    28. Yanga SC vs Iringa United.
    29. Coastal Union vs African Sports.
    30. Namungo FC vs Green Warriors.
    31. JKT Tanzania vs Boma FC
    32. Azam FC vs African Lyon.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MICHUANO YA ASFC; AZAM FC NA AFRICAN LYON, SIMBA SC NA AFC ARUSHA NA YANGA NA IRINGA UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top