• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 05, 2019

  ORIGI APIGA MBILI LIVERPOOL YAICHAPA EVERTON 5-2 ANFIELD

  Divock Origi akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika ya sita na 31 katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Everton usiku wa jana Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Sadio Mane dakika ya 45 na Georginio Wijnaldum dakika ya 90 wakati ya Everton yalifungwa na Michael Keane dakika ya 21 na Richarlison dakika ya 45 na ushei katika mpambano huo wa mahasimu wa Merseyside 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ORIGI APIGA MBILI LIVERPOOL YAICHAPA EVERTON 5-2 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top