• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 07, 2019

  MAN UNITED YAITULIZA MAN CITY PALE PAE ETIHAD,YAICHAPA 2-1

  Mshambuliaji Anthony Martial akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester United dakika ya 29 ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Manchester City leo Uwanja wa Etihad. Bao la kwanza la Manchester United lilifungwa na Marcus Rashford kwa penalti dakika ya 23 baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na Bernardo Silva, wakati la Man City limefungwa na Nicolas Otamendi dakika ya 85 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAITULIZA MAN CITY PALE PAE ETIHAD,YAICHAPA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top