• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 08, 2019

  JOSHUA AMSHINDA RUIZ JR. KWA POINTI NA KUREJESHA MATAJI YAKE

  Bondia Muingereza mwenye asili ya Nigeria, Anthony Joshua akiwa na mataji ya WBA, WBO, IBO na IBF baada ya kukabidhiwa jana kufuatia ushindi wa pointi za majaji wote, 118-110 mara mbili na 119-109 dhidi ya Mmarekani mwenye asili ya Mexico, Andy Ruiz Jr. usiku wa jana ukumbi wa Diriyah Arena mjini Diriyah nchini Saudi Arabia.
  Joshua alipokonywa mataji yake ya WBA, WBO na IBF baada ya kupgwa na Ruiz Jr. kwa Knockout (KO) raund ya saba Juni 1, mwaka huu ukumbi Madison Square Jijini New York, Marekani 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JOSHUA AMSHINDA RUIZ JR. KWA POINTI NA KUREJESHA MATAJI YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top