• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 07, 2019

  BENZEMA ASETI MOJA, AFUNGA MOJA REAL MADRID YASHINDA 2-0

  Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la pili dakika ya 79 kufuatia kumsetia Raphael Varane kufunga la kwanza dakika ya 37 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Espanyol kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Santiago Bernabeu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BENZEMA ASETI MOJA, AFUNGA MOJA REAL MADRID YASHINDA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top