• HABARI MPYA

  Sunday, October 06, 2019

  MATTY LONGSTAFF AWALAZA MAN UNITED, 'WAFA' 1-0 ST JAMES' PARK

  Kiungo kinda wa miaka 19 wa Newcastle United, Matty Longstaff (kulia) akishangilia na mwenzake baada ya kuifungia bao pekee timu yake dakika ya 72 ikiilaza 1-0 Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St. James' Park

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MATTY LONGSTAFF AWALAZA MAN UNITED, 'WAFA' 1-0 ST JAMES' PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top