Gabriel Martinelli akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika ya 13 na 16 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Standard Liège kwenye mchezo wa Kundi F UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Emrates. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Joe Willock dakika ya 22 na Dani Ceballos dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment