Waziri wa Mambo ya Ndani, Mheshimiwa Dk. Mwigulu Lameck Nchemba (kulia) akifuatilia kwa makini kabisa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) kati ya timu ya Singida United na Mtibwa Sugar Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo
Waziri Mwigulu Lameck Nchemba pia ni Rais wa Singida United ambayo leo imelambwa 3-2 na Mtibwa Sugar
Waziri Mwigulu Nchemba akizungumza na Mkurugenzi wa Singida United wakati mchezo ukiendelea dakika za mwishoni
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
4 days ago


.png)
0 comments:
Post a Comment