Mshambuliaji Neymar aliyekuwa majeruhi tangu mwanzoni mwa mwaka, akishangilia baada ya kuifungia bao zuri Brazil dakika ya 69 kwa pasi ya Philippe Coutinho ikiilaza Croatia 2-0 leo Uwanja wa Anfield, Liverpool katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa kujiandaa na Kombe la Dunia. Bao lingine la Brazil lilifungwa na Roberto Firmino dakika ya 90 na ushei, akimalizia pasi ya Casemiro PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Driver of backhoe loader bucket mixes up brake pedal with gas
-
Two workers in the Indian state of Assam were approaching a power pole in
an backhoe loader bucket on November 23. Unfortunately, the driver
accidentally h...
44 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment