Wachezaji wa Bayern Munich wakimpongeza mwenzao, Frank Ribery (kushoto) baada ya krosi yake kumbabatiza Jesus Navas na kujifunga kuwapatia wapinzani bao la kusawazisha dakika ya 37 kufuatia Pablo Sarabia kuanza kuifungia Sevilla dakika ya 32 Uwanja wa Ramon Pizjuan katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Thiago Alcântara aliifungia Bayern Munich bao la pili na la ushindi dakika ya 68 akimalizia pasi ya Ribery ikiwalaza Sevilla 2-1 nchini Hispania PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Caitlin Clark questioned over nine-day silence on WNBA punch scandal after
finally speaking out: 'A lot of prep time'
-
The WNBA became embroiled in fierce controversy yet again last week after
Clark - arguably the face of the league - was punched in the throat by
Phoenix Me...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment