• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 22, 2018

  LACAZETTE AFUNGA MAWILI ARSENAL YAITANDIKA 4-1 WEST HAM

  Mshambuliaji Mfaransa, Alexandre Lacazette akinyoosha vidole juu kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal dakika za 85 na 89 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya West Ham United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Nacho Monreal dakika ya 51 na Aaron Ramsey dakika ya 82, wakati la West Ham limefungwa na Marko Arnautovic dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LACAZETTE AFUNGA MAWILI ARSENAL YAITANDIKA 4-1 WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top