• HABARI MPYA

  Jumatatu, Aprili 23, 2018

  MBEYA CITY NA YANGA KATIKA PICHA JANA SOKOINE

  Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akiwatoka wachezaji wa Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1  
  Kiungo wa Yanga, Yussuf Mhilu akimtoka beki w Mbeya City
  Kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Mbeya City 
  Beki wa Yanga, Gardiel Michael akipambana na mchezaji wa Mbeya City
  Kikosi cha Mbeya City FC kabla ya mchezo wa jana
   Kikosi cha Yanga SC kanla ya mchezo wa jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBEYA CITY NA YANGA KATIKA PICHA JANA SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top