• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 21, 2018

  LIVERPOOL YATOA SARE THE HAWTHORNS, 2-2 NA WEST BROM

  Mohamed Salah akiinua mpira kumtungua kipa wa West Bromwich Albion, Ben Foster kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 72 katika sare ya 2-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa The Hawthorns, West Bromwich. Danny Ings alianza kuifungia Liverpool dakika ya nne, lakini West Brom ikazinduka na kusawazisha kupitia kwa Jake Livermore dakika ya 79 na Salomon Rondon dakika ya 88 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YATOA SARE THE HAWTHORNS, 2-2 NA WEST BROM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top