• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 22, 2018

  MAN CITY WAUPAMBA UBINGWA, WAIKUNG'UTA SWANSEA 5-0

  David Silva na Raheem Sterling wakishangilia baada ya wote kufunga katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Swansea City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Silva alifunga dakika ya 12 na Sterling dakika ya 16, wakati mabao mengine yamefungwa na Kevin De Bruyne dakika ya 54, Bernardo Silva dakika ya 64 na Gabriel Jesus dakika ya 88 baada ya kukosa penalty dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY WAUPAMBA UBINGWA, WAIKUNG'UTA SWANSEA 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top