SIMBA SC MAZOEZINI MOROGORO LEO KUJIANDAA NA YANGA SC
Wachezaji wa Simba SC wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Highland mkoani Morogoro walipoweka kambi kujiandaa na mchezo wao ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao, Yanga SC Jumapili Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment