• HABARI MPYA

  Ijumaa, Aprili 20, 2018

  MOSES AIFUNGIA BAO LA USHINDI CHELSEA IKIILAZA 2-1 BURNLEY

  Victor Moses akipongezwa na wenzake Alvaro Morata, Cesar Azpilicueta na Pedro baada ya kuifungia Chelsea bao la ushindi dakika ya 69 ikiwalaza 2-1 wenyeji, Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Turf Moor, Burnley. Burnley walianza kujifunga kupitia kwa beki wao, Kevin Long dakika ya 20 kabla ya Ashley Barnes kuisawazishia Burnley dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MOSES AIFUNGIA BAO LA USHINDI CHELSEA IKIILAZA 2-1 BURNLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top