• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 29, 2018

  FIRMINO ASAINI MKATABA MPYA LIVERPOOL HADI MWAKA 2023

  Mshambuliaji Mbrazil, Roberto Firmino (kulia) akifurahi na kocha wake, Mjerumani Jugern Klopp baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka mitano kuendelea kutumika Anfield hadi mwaka 2023 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FIRMINO ASAINI MKATABA MPYA LIVERPOOL HADI MWAKA 2023 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top