• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 25, 2018

  SALAH AFUNGA MAWILI KIMYA KIMYA, LIVERPOOL YAIPIGA ROMA 5-2

  Mshambuliaji Mmisri Mohamed Salah akiinua mikono juu kuiomba msamaha klabu yake ya zamani baada ya kuifunga mabao mawili dakika Salah 36 na 45 katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Roma kwenye Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Msenegal Sadio Mane dakika ya 56 na Mbrazil, Roberto Firmino (kushoto) mawili pia dakika za 62 na 69 wakati ya Roma yamefungwa na Edin Dzeko dakika ya 81 na Diego Perotti kwa penalti dakika ya 84 kufuatia James Milner kuushika mpira kwenye boksi. Roma itahitaji ushindi wa 3-0 kwenye mchezo wa marudiano Mei 2, Uwanja wa Olimpico ili kusonga mbele PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SALAH AFUNGA MAWILI KIMYA KIMYA, LIVERPOOL YAIPIGA ROMA 5-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top