Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao matatu peke yake dakika za 38, 82 na 85 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Deportivo La Coruna kwenye mchezo wa La Liga usiku wa Jumapili Uwanja wa Manispaa ya Riazor. Bao la kwanza la Barca ambayo kwa ushindi huo inajihakikishia taji la 25 la La Liga lilifungwa na Philippe Coutinho dakika ya saba, wakati mabao ya Deportivo La Coruna yamefungwa na Lucas Perez dakika ya 40 na Emre Colak dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Marcos Alonso in advance talks with Barcelona
-
Chelsea FC defender Marcos Alonso is in advanced talks with FC Barcelona
over a possible move in the summer. Barcelona are in search of a left-back
to offe...
Dakika 21 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni