Winga wa zamani wa Newcastle United, Florian Thauvin akishangilia baada ya kuifungia Olympique Marseille bao la kwanza dakika ya 15 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Salzburg kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza ya UEFA ya Europa League leo Uwanja wa Stade Vélodrome mjin Marseille. Bao la pili la Marseille limefungwa na Clinton N'Jie dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Which goal should win Goal of the Season?
-
Read through our shortlist of 18 strikes and vote for your favourite choice.
Dakika 7 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni