• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 29, 2018

  MAN CITY YAENDELEZA SHANGWE ZA UBINGWA ENGLAND

  Kiungo Mbrazil, Fernando Luiz Rosa maarufu kama Fernandinho akikimbia na mchezaji mwenzake, Raheem Sterling aliyeseti mabao matatu katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, West Ham United baada ya kufunga bao la nne dakika ya 64 Uwanja wa London leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya mabingwa hao wa mapema yamefungwa na Leroy Sane dakika ya 13, Pablo Zabaleta aliyejifunga dakika ya 27 na Gabriel Jesus dakika ya 53, wakati la West Ham limefungwa na Aaron Cresswell dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAENDELEZA SHANGWE ZA UBINGWA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top