• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 29, 2018

  JUVE WAIPINDULIA MEZA INTER...2-1 BADO DAKIKA NNE WASHINDA 3-2

  Gonzalo Higuain akishangilia baada ya kuifungia Juventus bao la ushindi dakika ya 89 ikitoka nyuma kwa 2-1 hadi dakika ya 87 na kushinda 3-2 dhidi ya wenyeji, Inter Milan katika mchezo wa Serie A jana Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan. 
  Douglas Costa alianza kuifungia Juventus dakika ya 13, kabla ya Mauro Icardi kuisawazishia Inter Milan dakika ya 52 na Andrea Barzagli kujifunga dakika ya 65 kuwapatia wenyeji bao la pili. 
  Juventus walizinduka zikiwa zimesalia dakika nne na kupata mabao mawili kupitia kwa Milan Skriniar aliyejifunga dakika ya 87 na Higuain aliyefunga la ushindi dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JUVE WAIPINDULIA MEZA INTER...2-1 BADO DAKIKA NNE WASHINDA 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top