Mashabiki wa Simba wakitamba Uwanja wa Taifa dhidi ya mashabiki wa Yanga kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya mahasimu hao wa jadi katika mpira wa miguu nchini, unaotarajiwa kuanza Saa 10:00 jioni ya leo
Mashabiki wa Yanga nao wakijibu wapinzani wao, japo hawajajitokeza kwa wingi uwanjani
Mashabiki wa Simba wanakaribia kujaza eneo lao
Upande wa mashabiki wa Yanga mwitikio ni mdogo
Mashabiki wa Yanga hawajajitokeza kwa wingi leo
Eneo kubwa la mashabiki wa Yanga ni tupu
Lakini mahasimu wao wamejitokeza kwa wingi
Na hata nje ya Uwanja idadi ya mashabiki waliojitokeza ni zaidi ya wa Yanga
Rangi nyekundu ndizo zimetawala leo ndani na nje ya Uwanja wa Taifa
Mama huyu kamvisha mwnaawe ki-Simba Simba anawahi nafasi yake
Burna Boy’s grandfather hails Nigeria’s dominance in Afrobeat
-
Veteran broadcaster and music executive, Benson Idonije, has praised
Nigeria’s continued leadership in Afrobeat music, saying the country
remains the dri...
2 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment