• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 29, 2018

  LUNYAMILA, TIGANA WALIFUNGA YANGA IKIIPIGA SIMBA SC 2-1 UWANJA WA TAIFA

  Kipa wa Simba SC, Daniel Panju akiwa ameanguka chini baada ya Ally Yussuf Tigana (hauopo pichani) kuifungia Yanga bao la pili dakika ya 80 katika ushindi wa 2-1 kwenye mechi ya Ngao Ya Jamii Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru mjini Dar es Salaam Februari 17, mwaka 2001. Bao la kwanza la Yanga lilifungwa na Edibilly Lunyamila dakika ya 47, ambalo lilikuwa la kusawazisha baada ya Steven Mapunda 'Garrincha' kuanza kuifungia Simba dakika ya 43 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LUNYAMILA, TIGANA WALIFUNGA YANGA IKIIPIGA SIMBA SC 2-1 UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top