• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 29, 2018

  FELLAINI AIFUNGIA LA USHINDI MAN UNITED DAKIKA YA MWISHO

  Marouane Fellaini akishangilia kishujaa baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester United dakika ya 90 na ushei kufuatia kutokea benchi dakika ya 64 kuchukua nafasi ya Jesse Lingard ikiilaza Arsenal  2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa leo Uwanja wa Old Trafford. Paul Pogba alianza kuifungia Man United dakika ya 16 kabla ya Henrikh Mkhitaryan kuisawazishia Arsenal dakika ya 51 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FELLAINI AIFUNGIA LA USHINDI MAN UNITED DAKIKA YA MWISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top