• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 25, 2018

  MWANAUME YUPO TAYARI KWA KAZI LEO ALLIANZ ARENA

  Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiwa mazoezini na wenzake jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani jana kujiandaa na Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa leo dhidi ya wenyeji, Bayern Munich PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MWANAUME YUPO TAYARI KWA KAZI LEO ALLIANZ ARENA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top