• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 29, 2018

  MAMBO YALIVYO UWANJA WA TAIFA PAMBANO LA WATANI

  Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao, Simba leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 
  Kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili wa Simba, Mtunisia Aymed Mohamed Hbibi akiwapasha vijana wake  
  Wachezaji wa Simba wakipasha misuli moto kabla ya mchezo huo  
  Wachezaji na Simba na kocha wao, Aymen Mohamed Hbibi wakipasha
  Wachezaji wa Simba wakiendelea na mazoezi 
  Wachezaji wa Yanga nao wakipasha chini ya kocha wao wa mazoezi ya utimamu wa mwili, Mzambia Noel Mwandila 
  Hapa ni wakati Yanga wanaingia uwanjani kupasha, Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi akiongoza wenzake
  Marefa wa mchezi huo Emmanuel Mwandembwa (katikati), Franko Komba (kulia) na Mohamed Mkono (kushoto) 
  Mashabiki wa Yanga wakitaniana na mahasimu wao, Simba
  Mashabiki wa Simba wakiwa wenye kujiamini mapema tu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAMBO YALIVYO UWANJA WA TAIFA PAMBANO LA WATANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top