Nahodha na mshambuliaji wa Simba SC, John Bocco akimtoka beki wa Tanzania Prisons, Nurdin Chona katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0
Jumanne Elfadhil wa Tanzania Prisons (kulia) akiufuata mpira baada ya mshambuliaji wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi (kushoto) kuanguka
Emmanuel Okwi wa Simba akiondoka na mpira dhidi ya Jumanne Elfadhil
Eliuter Mpepo wa Tanzania Prisons akiwa juu kupiga mpira kichwa dhidi ya beki wa Simba, Mghana Asante Kwasi
Ramadhani Ibata wa Tanania Prisons akimlamba chenga Erasto Nyoni wa Simba SC (kulia)
Freddy Chudu wa Tanzania Prisons akimiliki mpira mbele ya Shiza Kichuya wa Simba
Asante Kwasi wa Simba akipambana katikati ya wachezaji wa Tanzania Prisons
Benjamin Asukile wa Tanzania Prisons akipanda na mpira dhidi ya beki wa Simba, Shomary Kapombe
Kikosi cha Tanzania Prisons kabla ya mchezo wa jana
Kikosi cha Simba SC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Mexico beat Czech Republic to maintain 100% winning record
-
Mexico score three second-half goals to eliminate the Czech Republic from
the World Cup and end the group phase with maximum points.
10 hours ago


.png)
0 comments:
Post a Comment