• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 29, 2018

  FABREGAS AWAPA RAHA CHELSEA, AFUNGA BAO PEKEE YASHINDA 1-0

  Cesc Fabregas akipongezwa na mchezaji mwenzake Eden Hazard huku na mchezaji mwenzao mpya, Olivier Giroud kutoka Arsenal akifurahia nyuma yao baada ya kuifungia Chelsea bao pekee dakika ya nne ikiwalaza wenyeji Swansea City 1-0 Uwanja wa Liberty usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FABREGAS AWAPA RAHA CHELSEA, AFUNGA BAO PEKEE YASHINDA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top