Marcelo Brozovic akishangilia baada ya kuifungia Inter Milan bao la tatu dakika ya 60 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Cagliari kwenye mchezo wa Serie A usiku wa Jumanne Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan. Mabao mengine ya Inter yamefungwa na Joao Cancelo dakika ya tatu, Mauro Icardi dakika ya 49 na Ivan Perisic dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Eckert free to stay as Southampton boss as Spygate ban suspended
-
Tonda Eckert is free to continue as Southampton manager after being given a
suspended ban for his role in Spygate.
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment