• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 25, 2018

  SALAH NDIYE MFALME WA MABAO ULAYA...RONALDO, MESSI WANASUBIRI!

  Chati ya wafungaji wa mabao barani Ulaya ikionyesha mshambuliaji Mmisri, Mohamed Salah anayechezea Liverpool ndiye anaongoza kwa mabao yake 42, akifuatiwa na Ciro Immobile wa Lazio mwenye mabao 41, Lionel Messi wa Barcelona mabao 40 na Robert Lewandowski mabao 39   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SALAH NDIYE MFALME WA MABAO ULAYA...RONALDO, MESSI WANASUBIRI! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top