• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 21, 2018

  SANCHEZ, HERRERA WAIPELEKA MAN UNITED FAINALI KOMBE LA FA

  Ander Herrera akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 62 ikiilaza 2-1 Tottenham Hotspur katika Nusu Fainali ya Kombe la FA England leo Uwanja wa Wembley, London. Spurs ilitangulia kwa bao la Dele Alli dakika ya 11, kabla ya Alexis Sanchez kuisawazishia Man United dakika ya 24. Timu hiyo ya kocha Mreno, Jose Mourinho itakutana na mshindi wa Nusu Fainali ya pili kesho kati ya Chelsea na Southampton PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SANCHEZ, HERRERA WAIPELEKA MAN UNITED FAINALI KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top