Nyota wa Barcelona, Nelson Semedo (kushoto) na Lionel Messi (katikati) wakimpongeza mwenzao, Ousmane Dembele baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 36 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Celta Vigo usiku wa Jumanne Uwanja wa de Balaidos mjini Vigo kwenye mchezo wa La Liga. Bao lingine la Barca ambayo nyota wake Luis Suarez alikuwa benchi huku Messi akiingia dakika ya 60 kuchukua nafasi ya Phillippe Coutinho, limefungwa na Paco Alcecer dakika ya 64, wakati ya Celta Vigo yamefungwa na Jonny Castro dakika ya 45 na Iago Aspas dakika ya 82. Barca ilimaliza pungufu baada ya Sergi Roberto aliyeingia dakika ya 60 kuchukua nafasi ya Andre Gomes kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pyres, Screams and Light: Here are the Best Albums of 2025
-
Join us for Euronews Culture's countdown to our favourite album of the
year. How many have you heard?View on euronews
12 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment