• HABARI MPYA

  Jumatatu, Aprili 30, 2018

  FERGUSON AMPA WENGER ZAWADI YA KUONDOKEA ARSENAL

  Kocha wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson (kulia) akimkabidhi zawadi kocha Mfaransa wa Arsenal, Arsene Wenger maalum kumuaga kutokana na Mfaransa huyo kutangaza rasmi atahitimisha miaka yake 22 klabu hiyo ya London mwishoni mwa mskimu huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FERGUSON AMPA WENGER ZAWADI YA KUONDOKEA ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top