• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 22, 2018

  AMIR KHAN AREJEA KWA KISHINDO, AMOIGA MTU KO MBAYA

  Bondia Muingereza Amir Khan (kushoto) akimtazama mpinzani wake, Mcanada Phil Lo Greco aliyeanguka chini (kulia) na kushindwa kuendelea na pambano la uzito wa Super Welter sekunde ya 40 ukumbi wa Echo Arena Jijini Liverpool usiku wa Jumamosi, hiyo ikiwa mara ya pili baada ya awali kuanguka sekunde ya 18 na kuinuka kuendelea. Khan alikuwa anapigana tena baada ya kusimama kwa takriban miaka miwili PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AMIR KHAN AREJEA KWA KISHINDO, AMOIGA MTU KO MBAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top