• HABARI MPYA

  Ijumaa, Aprili 27, 2018

  GRIEZMANN AINUSURU ATLETICO KUPIGWA NA ARSENAL, SARE 1-1

  Mshambuliaji Mfaransa, Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid bao la kusawazisha dakika ya 82 katika sare ya 1-1 na Arsenal kwenye Nusu Fainali ya kwanza ya UEFA Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates, London. Arsenal ilitangulia kwa bao la mshambuliaji wake Mfaransa pia, Alexandre Lacazette dakika ya 61 huku Atletico ikicheza pungufu tangu dakika ya 10, kufuatia beki wake wa kulia, Sime Vrsaljko kutolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya njano na dakika moja baadaye, kocha Muargentina wa Atletico Madrid, Diego Simeone naye aklitolewa nje  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GRIEZMANN AINUSURU ATLETICO KUPIGWA NA ARSENAL, SARE 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top