Kipa wa Simba, Aishi Manula akiwa chini kujaribu kuokoa katika mazoezini ya timu hiyo leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Njombe Mji FC Jumamosi
Kiungo Haruna Niyonzima (kushoto) akimpita beki mazoezini leo
Mshambuliaji Laudit Mavugo (kushoto) akiwa mazoezini leo
Kiungo Said Ndemla (kushoto) akiondoka na mpira
Kocha Mcameroon, Joseph Marius Omog (kushoto) akiongoza mazoezi leo
Athletics: World Indoor Championships
-
Live coverage from day two of the 2025 World Indoor Athletics Championships.
46 minutes ago
0 comments:
Post a Comment