• HABARI MPYA

    Thursday, October 19, 2017

    KOCHA MPYA MSAIDIZI SIMBA AANZA KAZI MARA MOJA

    Kocha Mkuu wa Simba, Mcameroon, Joseph Marius Omog (katikati) na Kocha wa Makipa, Muharami Mohammed 'Shilton' (kushoto) wakimuelekeza jambo Kocha mpya Msaidizi, Mrundi Masudi Juma (kulia) baada ya kuwasili mazoezini Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam leo kuanza kazi 
    Hapa Omog na Shilton wakimpa taarifa muhimu za timu Juma ambaye amewasili mchana wa leo
    Hapa Masudi Juma anasalimiana na Nahodha wa timu, Mzimbabwe, Method Mwanjali 
    Masudi Juma akipewa maelekezo kutoka kwa Kocha Mkuu, Joseph Omog  
    Hapa Masudi Juma anazungumza na kiungo Mnyarwanda, Haruna Niyonzima ambaye alicheza naye Rayon

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KOCHA MPYA MSAIDIZI SIMBA AANZA KAZI MARA MOJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top