Mshambuliaji Mfaransa, Olivier Giroud akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Arsenal dakika ya 85 baada ya kazi nzuri ya ushirikiano wa Waingereza Jack Wilshere na Theo Walcott wakiwafunga wenyeji Red Star Belgrade 1-0 katika mchezo wa Kundi H Europa League usiku wa jana Uwanja wa Rajko Mitic mjini Belgrade, Serbia. Dakika 10 za mwiwho Red Star ilicheza pungufu baada ya beki wake wa kushoto, Milan Rodic kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Court reserves judgment on final forfeiture of Malami-linked properties
-
Abuja Federal High Court fixes July 2, 2026 for judgment on EFCC’s bid to
secure final forfeiture of 57 properties allegedly linked to ex-AGF
Abubakar Ma...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment