Mshambuliaji Mbrazil, Roberto Firmino akiwa na mchezaji mwenzake Dejan Lovren wakishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za nne na 54 katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Maribor Uwanja wa Ljudski vrt mjini Maribor kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Mohamed Salah mawili pia dakika za 19 na 39, Philippe Coutinho dakika ya 13, 86' Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 86 na Trent Alexander-Arnold dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
EU governments back Italy's Comporti for next head of ESMA
-
BRUSSELS, July 23 (Reuters) - Ambassadors of European Union governments
backed on Wednesday Italy's Carlo Comporti as the next head of the European
Securit...
5 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment